{"id":"n_3ilnln3mypwwjrieuova","seq":9391422,"kind":"article","title":"Vifo vya wahamiaji ajali ya boti Senegal vyafikia 39","url":"https://habarileo.co.tz/vifo-vya-wahamiaji-ajali-ya-boti-senegal-vyafikia-39","summary":"SENEGAL: Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji kuelekea Visiwa vya Canary, nchini Hispania, imefikia 39 baada ya miili mingine kupatikana Jumatatu, wakati shughuli za uokoaji zikiendelea katika pwani ya Senegal. Boti hiyo ndogo ya mbao ilipinduka katika Bahari ya Atlantiki, eneo la pwani ya Senegal kati ya mji mkuu …","published":"2026-11-10T09:08:03Z","seen":"2026-11-10T09:46:03Z","lang":"en","country":"TZ","source":{"id":"kite-habarileo-co-tz-a92c7b","name":"habarileo.co.tz","domain":"habarileo.co.tz"},"via":"kite-habarileo-co-tz-a92c7b","topics":["kimataifa","tanzania"],"authors":["Na Mwandishi Wetu"],"mentions":2,"story":"st_52egbp5oqnxkkvodz3ka","category":"disaster-accident","category_p":0.73,"sentiment":"negative","tone":-0.88,"political":0.19}