{"id":"n_3t6upr5zrnfqqdy6tyha","seq":12854616,"kind":"article","title":"Marekani: Pete Hegseth atangaza makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi na Venezuela","url":"https://www.rfi.fr/sw/amerika/20261119-marekani-pete-hegseth-atangaza-makubaliano-ya-ushirikiano-wa-kijeshi-na-venezuela","summary":"Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, alikuwa mjini Caracas siku ya Jumatano kwa ziara ya kushtukiza ambapo alipokelewa na rais wa mpito Delcy Rodríguez katika ikulu ya rais ya Miraflores na iliyopelekea kutiwa saini kwa makubaliano ya \"ushirikiano wa kijeshi\" kati ya nchi hizo mbili. Pete Hegseth ndiye afisa mkuu wa Marekani aliyetembelea Venezuela tangu operesheni ya kijeshi ya Marekani iliyopelekea kukamatwa mwezi Januari mwaka jana kwa Nicolás Maduro.","published":"2026-11-19T09:25:00Z","seen":"2026-11-19T10:53:26Z","lang":"sw","country":"TZ","source":{"id":"kite-rfi-fr-fc8e76","name":"rfi.fr","domain":"rfi.fr"},"via":"kite-rfi-fr-fc8e76","topics":["amerika"],"authors":["RFI"],"image":"https://s.rfi.fr/media/display/257de7f6-e3e8-11f1-96e7-1ba7ddfab527/w:1024/p:16x9/AP26322720470518.jpg","story":"st_vmofqhebxhbywitnmn2a","category":"politics","category_p":0.67,"sentiment":"neutral","tone":0.01,"political":0.9}