{"id":"n_6qhuct57gahu6z3t7mua","seq":9455248,"kind":"article","title":"Mustakabali wa Carrick kuamuliwa katika kikao Monaco","url":"https://taifaleo.nation.co.ke/dimba/mustakabali-wa-carrick-kuamuliwa-katika-kikao-monaco","summary":"MUSTAKABALI wa kocha wa Manchester United, Michael Carrick, utaamuliwa leo, katika kikao kitakachohudhuriwa na mmiliki wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe pamoja na viongozi wakuu Omar Berrada na Jason Wilcox mjini Monaco. Kibarua cha Carrick kiko hatarini baada ya United kushuka hadi nafasi ya 18 kwenye jedwali la Ligi Kuu UIngereza (EPL) kufuatia sare ya 4-4 dhidi ya Aston Villa Jumapili. Kwa mujibu wa BBC Sport, Berrada, ambaye ni mtendaji mkuu, na Wilcox, mkurugenzi wa soka…","published":"2026-11-10T13:24:44Z","seen":"2026-11-10T13:36:22Z","lang":"en","country":"KE","source":{"id":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","name":"taifaleo.nation.co.ke","domain":"taifaleo.nation.co.ke"},"via":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","topics":["dimba","kibarua cha carrick kiko hatarini","professional footballers' association…"],"authors":["Fatuma Bariki"],"story":"st_hmj6deovfii3kb3xxmiq","category":"sport","category_p":0.92,"sentiment":"neutral","tone":0.08,"political":0.21}