{"id":"n_7pub7vg75rlx2dwpfb6a","seq":13595096,"kind":"article","title":"NGOs ZATAKIWA KUJITEGEMEA KIFEDHA, WAZIRI MKUU KUFUNGUA JUKWAA DODOMA","url":"https://michuzijr.blogspot.com/2026/11/ngos-zatakiwa-kujitegemea-kifedha.html","summary":"Na Karama Kenyunko, Michuzi TV MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini yametakiwa kubuni vyanzo vya ndani vya mapato na kuimarisha ubia na sekta binafsi ili kupunguza utegemezi wa ufadhili kutoka nje na kuhakikisha uendelevu wa shughuli zake za kijamii. Wito huo umetolewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Jukwaa la Sita la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya…","published":"2026-11-21T04:25:26Z","seen":"2026-11-21T05:25:00Z","lang":"sw","country":"TZ","source":{"id":"kite-michuzijr-blogspot-com-279cb7","name":"michuzijr.blogspot.com","domain":"michuzijr.blogspot.com"},"via":"kite-michuzijr-blogspot-com-279cb7","topics":["habari","jamii"],"authors":["Othman Michuzi"],"image":"https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhqiQdGaJ6YGE3wweVXIWoennjE_FJjrJ34EOhr1A1Gis9xWLgCp-JkUKffjFBOwCS73CZz6V-2efHtpvhsRNGmr46PqEVWjrWzRDLown3sGpS940DA83BJTx1ugoz7qpfW_9EUWwhI7dulBoDXECflQYpjaJP6PZkQHGg4_OTeW_bDR1HwuXb8F779FHs/s72-c/WhatsApp%20Image%202026-11-20%20at%205.42.41%20PM.jpeg","story":"st_6cwqxsks3xhsxeqsr6wq","category":"politics","category_p":0.62,"category2":"economy-business","sentiment":"neutral","tone":-0.09,"political":0.81}