{"id":"n_e4crszkbnvisyv2gxu5q","seq":13470541,"kind":"article","title":"UENDELEVU WA NGOs WATEGEMEA UONGOZI BORA, UBUNIFU","url":"https://michuzijr.blogspot.com/2026/11/uendelevu-wa-ngos-wategemea-uongozi.html","summary":"Na Karama Kenyunko, Michuzi TV MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini yametakiwa kuimarisha mifumo ya uongozi, usimamizi wa fedha, uwazi na uwajibikaji pamoja na kuwekeza katika ubunifu ili kuongeza uwezo wa kujiendesha na kuendeleza huduma kwa jamii. Wito huo umetolewa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo, walioeleza kuwa uongozi bora, uzingatiaji wa sheria za kodi na matumizi sahihi ya rasilimali ni miongoni mwa misingi muhimu ya kuhakikisha mashirika hayo yanakuwa…","published":"2026-11-20T13:48:37Z","seen":"2026-11-20T19:45:31Z","lang":"sw","country":"TZ","source":{"id":"kite-michuzijr-blogspot-com-279cb7","name":"michuzijr.blogspot.com","domain":"michuzijr.blogspot.com"},"via":"kite-michuzijr-blogspot-com-279cb7","topics":["habari","jamii"],"authors":["Othman Michuzi"],"image":"https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNoZfOCK9xLq626UcwMDucRvXbcveZflYjpDFsICvWs6gbThEuS-YC7eLQknHG8Gommt-bASbozMDVCBcz3wo32jEv4LAsR3zXoQiT7ozoXd6SctBmIPBG4a3NySOcf1OxDjDDdvC_EjNj57FTPZjyorBjCP5ku5d2wFmeM5UYHDc2fTL0DT6SKp3U8ws/s72-c/WhatsApp%20Image%202026-11-20%20at%203.20.52%20PM.jpeg","story":"st_m5cgc2ymcsrvkh4viyyq","category":"politics","category_p":0.39,"sentiment":"neutral","tone":0.12,"political":0.41}