{"id":"n_fqt5dlrpq2hnydbjhu5a","seq":10138964,"kind":"article","title":"RDC: Rais Tshisekedi atia saini sheria mpya ya kura ya maoni","url":"https://www.rfi.fr/sw/afrika/20261112-rdc-rais-tshisekedi-atia-saini-sheria-mpya-ya-kura-ya-maoni","summary":"Rais wa DRC, Félix Tshisekedi ametia saini sheria mpya ya kura ya maoni inayochukua nafasi ya sheria ya zamani ya Juni 22, 2005, yakiwa ni mabadiliko makubwa katika sheria na kutoa fursa kwa wananchi kupigia kura rasimu ya Katiba mpya au kufanya marekebisho ya katiba iliyopo kupitia kura ya maoni kusema \"Ndiyo\" au \"Hapana\".","published":"2026-11-12T04:38:01Z","seen":"2026-11-12T05:18:03Z","lang":"sw","country":"TZ","source":{"id":"kite-rfi-fr-fc8e76","name":"rfi.fr","domain":"rfi.fr"},"via":"kite-rfi-fr-fc8e76","topics":["afrika"],"authors":["Hillary Ingati"],"image":"https://s.rfi.fr/media/display/13fad084-c971-11f1-abfd-638c1c1f5fd6/w:1024/p:16x9/F%C3%A9lix-Tshisekedi.jpg","story":"st_feidhl22rijzphjwfyaq","category":"politics","category_p":0.92,"sentiment":"neutral","tone":0.06,"political":0.94}