{"id":"n_fvdqiwogv2muiiax5qhq","seq":13319822,"kind":"article","title":"RAIS SAMIA KUFUNGUA MKUTANO MKUU WA TUME ZA UCHAGUZI ECF-SADC","url":"https://www.michuzi.co.tz/2026/11/rais-samia-kufungua-mkutano-mkuu-wa.html","summary":"Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 28 wa Mwaka wa Tume za Uchaguzi za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (ECF-SADC) utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 23 Novemba, 2026 hadi 24 Novemba, 2026. Akizungumza jijini Dar es Salaam, leo tarehe 20 Novemba, 2026, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Ndg.…","published":"2026-11-20T11:50:56Z","seen":"2026-11-20T12:33:34Z","lang":"sw","country":"TZ","source":{"id":"kite-michuzi-co-tz-c88908","name":"michuzi.co.tz","domain":"michuzi.co.tz"},"via":"kite-michuzi-co-tz-c88908","topics":["habari"],"authors":["Ahmad Michuzi"],"image":"https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNZF4AhrZ07NXGAwkBWDMpOL-1PLLrTg7D4s9JeMS91D_VbNyElTTXvC3qH6ne232LSgPlAbHVTB2KHpwq3s0sqIkF4jvHjDFF0omsR3IHAdaC1rruyXy88j-SYxzsYRhx-ng8m17O3MOVWE5FYxXOQ0VaYmkJANvJbInG3ILAZF2K4tcYOCKj/s72-c/WhatsApp%20Image%202026-11-20%20at%2009.11.31.jpeg","mentions":2,"story":"st_jiejnsmxicwkno7h36ba","category":"politics","category_p":0.89,"sentiment":"neutral","tone":0.06,"political":0.93}