{"id":"n_jksuwynk4mudt6jmchqa","seq":10980406,"kind":"article","title":"MARANJE KUWA KITOVU CHA UCHAKATAJI WA KOROSHO TANZANIA","url":"https://www.michuzi.co.tz/2026/11/maranje-kuwa-kitovu-cha-uchakataji-wa.html","summary":"MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Deogratius John Ndejembi ameweka rasmi jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Kongani la Viwanda tarehe 13 Novemba 2026, katika Kijiji cha Maranje, Halmashauri ya Nanyamba mkoani Mtwara. Hafla hiyo imefanyika katika eneo la mradi unaosimamiwa na Wizara ya Kilimo kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), ikiwa ni sehemu ya ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais mkoani Mtwara na kukagua na kuhamasisha utekelezaji wa miradi…","published":"2026-11-14T06:36:39Z","seen":"2026-11-14T06:59:05Z","lang":"sw","country":"TZ","source":{"id":"kite-michuzi-co-tz-c88908","name":"michuzi.co.tz","domain":"michuzi.co.tz"},"via":"kite-michuzi-co-tz-c88908","topics":["habari","habari jamii"],"authors":["Othman Michuzi"],"image":"https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjH5nHnemBthYbgnk1CtNVEw0XnDdWv_kVaChVDWveYwKXZWWR5iTKzSdBo1PaI2i-EqYc9ITOm5izg4-0LIVAMGmUvkFC36UrpU5GLO-G6l1-yOp3sml2zaVS5hmS4pHdz2v3hzbvrMvZIgBI3Hz1roSdn-7o-se9Q0efItr7ri5TTHYOWc4L5gQ/s72-c/WhatsApp%20Image%202026-11-13%20at%2010.32.50%20PM.jpeg","mentions":2,"story":"st_vednqefkgzwgwgqg4q5q","category":"arts-culture-entertainment","category_p":0.8,"sentiment":"neutral","tone":0.24,"political":0.03}