{"id":"n_nryyst4gndnvk4isnspq","seq":11899389,"kind":"article","title":"Kinachomsubiri Pochettino ugani Old Trafford","url":"https://taifaleo.nation.co.ke/dimba/kinachomsubiri-pochettino-ugani-old-trafford","summary":"MAURICIO Pochettino anatua ugani Old Trafford akiwa na sifa ya kuwa kocha asiyependa masihara, anayekumbatia maandalizi kabambe kabla ya kila msimu na anayetaka wachezaji wote kuwa katika hali thabiti kiakili na kimwili kila wakati. Manchester United wameajiri mkufunzi huyo raia wa Argentina hadi Juni 2029 kuchukua nafasi ya Michael Carrick aliyetimuliwa baada ya kikosi kusajili msururu wa matokeo duni muhula huu. Kwa mujibu wa difenda wa zamani wa Tottenham Toby…","published":"2026-11-17T05:55:13Z","seen":"2026-11-17T06:11:01Z","lang":"en","country":"KE","source":{"id":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","name":"taifaleo.nation.co.ke","domain":"taifaleo.nation.co.ke"},"via":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","topics":["dimba","difenda wa zamani wa tottenham toby…","kocha mpya wa manchester united…","kusuasua kwa manchester united","ligi kuu ya uingereza (epl)","mashaka kambini old trafford"],"authors":["Fatuma Bariki"],"story":"st_soqosdof5uhl6ydm5daa","category":"sport","category_p":0.92,"sentiment":"neutral","tone":0.03,"political":0.12}