{"id":"n_nwbtjnbynbfs6qoruvva","seq":12462037,"kind":"article","title":"Wakenya milioni 33.7 wamejisajili SHA, asema Ruto","url":"https://swahili.kbc.co.ke/wakenya-milioni-33-7-wamejisajili-sha-asema-ruto","summary":"Jumla ya Wakenya milioni 33.7 wamejisajili na Mamlaka ya Afya ya Jamii, SHA. Rais William Ruto amesema hii ni kinyume cha Wakenya wapatao milioni 8 waliokuwa wamejisajili na iliyokuwa bima ya afya ya NHIF miaka minne iliyopita. “Lakini umuhimu wa mageuzi haya unazidi takwimu za waliojisajili,” alisema Rais Ruto wakati akihutubia taifa kutoka majengo ya […] The post Wakenya milioni 33.7 wamejisajili SHA, asema Ruto appeared first on KBC Swahili .","published":"2026-11-18T12:50:14Z","seen":"2026-11-18T13:01:36Z","lang":"en","country":"KE","source":{"id":"kite-swahili-kbc-co-ke-0388ec","name":"swahili.kbc.co.ke","domain":"swahili.kbc.co.ke"},"via":"kite-swahili-kbc-co-ke-0388ec","topics":["habari","changamoto","huduma","rais william ruto","sha"],"authors":["Martin Mwanje"],"story":"st_nwbtjnbynbfs6qoruvva","category":"politics","category_p":0.49,"category2":"economy-business","sentiment":"positive","tone":0.27,"political":0.71}