{"id":"n_of7uas4fqgrvuzixnhua","seq":4185544,"kind":"article","title":"Watu saba hawajulikani waliko baada ya jengo kuporomoka Eastleigh","url":"https://taifaleo.nation.co.ke/habari/habari-za-kitaifa/watu-saba-hawajulikani-waliko-baada-ya-jengo-la-eastleigh-kuporomoka","summary":"Watu saba bado hawajulikani waliko baada ya jengo la ghorofa 18 kuporomoka Eastleigh, Nairobi, huku shughuli za uokoaji zikiendelea kwa tahadhari kutokana na hofu ya kuathiri hewa inayoweza kuwasaidia manusura walio chini ya vifusi. Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen alisema wafanyakazi 67 waliokuwa wakijenga jengo hilo kando ya 9th Street kabla ya kuporomoka wamepatikana. Mmoja alijeruhiwa huku wengine 66 wakinusurika bila majeraha. Hata hivyo, watu saba…","published":"2026-10-24T06:30:48Z","seen":"2026-10-24T07:07:01Z","lang":"en","country":"KE","source":{"id":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","name":"taifaleo.nation.co.ke","domain":"taifaleo.nation.co.ke"},"via":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","topics":["habari za kitaifa","eastleigh","huduma ya vijana kwa taifa (nys)","jeshi la ulinzi la kenya (kdf)","nairobi","polisi","serikali ya kaunti ya nairobi","waziri wa usalama wa ndani kipchumba…"],"authors":["Fatuma Bariki"],"story":"st_6rhd6dczpygihacsdrsa","category":"disaster-accident","category_p":0.72,"sentiment":"negative","tone":-0.91,"political":0.03}