{"id":"n_wwo36oxvxze52qtgyriq","seq":13317266,"kind":"article","title":"Rais Samia awataka vijana kulinda amani","url":"https://habarileo.co.tz/rais-samia-awataka-vijana-kulinda-amani","summary":"MOSHI: Rais Dk Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana kulinda amani na usalama wa nchi wakati Tanzania ikijiandaa kupokea wageni wengi wa kimataifa watakaohudhuria shughuli na matukio mbalimbali nchini. Rais Samia ametoa wito huo Novemba 20, alipokuwa akisalimia wananchi wa Bomang’ombe, wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro, akiwa njiani kuelekea mjini Moshi. Amesema ongezeko la watalii wanaoingia nchini …","published":"2026-11-20T12:18:26Z","seen":"2026-11-20T12:21:54Z","lang":"en","country":"TZ","source":{"id":"kite-habarileo-co-tz-a92c7b","name":"habarileo.co.tz","domain":"habarileo.co.tz"},"via":"kite-habarileo-co-tz-a92c7b","topics":["tanzania"],"authors":["Rahimu Fadhili"],"mentions":2,"story":"st_wwo36oxvxze52qtgyriq","category":"politics","category_p":0.52,"sentiment":"neutral","tone":-0.07,"political":0.87}