{"schema":"hottub-news/story/v1","story":"st_37it5f7nvabrxkqa2pvq","title":"Gofu yafungua milango ya ushirikiano wa biashara","title_en":null,"outlets":1,"brief":null,"page":"https://hottub.news/stories/gofu-yafungua-milango-ya-ushirikiano-wa-biashara-37it5f7nva","count":1,"items":[{"id":"n_37it5f7nvabrxkqa2pvq","seq":263623,"kind":"article","title":"Gofu yafungua milango ya ushirikiano wa biashara","url":"https://habarileo.co.tz/gofu-yafungua-milango-ya-ushirikiano-wa-biashara","summary":"ZANZIBAR: KAMPUNI ya Vodacom imeendelea kutumia mchezo wa gofu kuunganisha viongozi wa biashara, maafisa watendaji wakuu (CEO), wanadiplomasia na wadau wa sekta mbalimbali kupitia udhamini na ushiriki wake katika mashindano ya CEO Golf Tournament 2026. Mashindano hayo yalifanyika Septemba 26, 2026, katika viwanja vya Sea Cliff Golf Course, Zanzibar, yakishirikisha zaidi ya wachezaji 80 kutoka …","published":"2026-09-27T12:59:24Z","seen":"2026-09-27T15:21:51Z","lang":"en","country":"TZ","source":{"id":"kite-habarileo-co-tz-a92c7b","name":"habarileo.co.tz","domain":"habarileo.co.tz"},"via":"kite-habarileo-co-tz-a92c7b","topics":["michezo na burudani"],"authors":["Na Mwandishi Wetu"],"entities":[{"id":"Q5377","name":"golf","type":"org"}],"story":"st_37it5f7nvabrxkqa2pvq","category":"economy-business","category_p":0.9800000190734863,"sentiment":"positive","tone":0.7699999809265137,"political":0.1899999976158142}]}