{"schema":"hottub-news/story/v1","story":"st_7fa4pjllq3pvju57jupa","title":"Kenya yapewa leseni ya kuunda dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi","title_en":null,"outlets":1,"brief":null,"page":"https://hottub.news/stories/kenya-yapewa-leseni-ya-kuunda-dawa-za-kupunguza-makali-ya-virusi-vya-7fa4pjllq3","count":1,"items":[{"id":"n_7fa4pjllq3pvju57jupa","seq":374521,"kind":"article","title":"Kenya yapewa leseni ya kuunda dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi","url":"https://taifaleo.nation.co.ke/habari/kenya-yapewa-leseni-ya-kuunda-dawa-za-kupunguza-makali-ya-virusi-vya-ukimwi","summary":"KENYA imepewa leseni ya kutengeneza dawa mpya ya kumeza ya kuzuia maambukizi ya ukimwi, hatua inayoiweka miongoni mwa nchi tatu Afrika zitakazozalisha dawa hiyo kwa ajili ya masoko ya Afrika. Kampuni ya dawa ya Merck imetoa leseni ya kuzalisha toleo la bei nafuu la Alimatravir, dawa inayotarajiwa kumezwa mara moja kwa mwezi. Nchini Kenya, dawa hiyo itatengenezwa na Kampuni ya Universal Corporation. Hatua hiyo inatajwa kuwa ya kihistoria kwani watengenezaji wa dawa barani…","published":"2026-09-28T07:55:31Z","seen":"2026-09-28T08:16:08Z","lang":"en","country":"KE","source":{"id":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","name":"taifaleo.nation.co.ke","domain":"taifaleo.nation.co.ke"},"via":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","topics":["habari","barani afrika","dawa za ukimwi","maambukizi","rais william ruto","ugonjwa","unga","waziri duale"],"authors":["Fatuma Bariki"],"entities":[{"id":"Q114","name":"Kenya","type":"place"}],"story":"st_7fa4pjllq3pvju57jupa","category":"health","category_p":0.6100000143051147,"sentiment":"positive","tone":0.38999998569488525,"political":0.3100000023841858}]}