{"schema":"hottub-news/story/v1","story":"st_czqcvgifoftq2juxek2a","title":"Oburu arejea kutoka London","title_en":null,"outlets":1,"brief":null,"page":"https://hottub.news/stories/oburu-arejea-kutoka-london-czqcvgifof","count":1,"items":[{"id":"n_czqcvgifoftq2juxek2a","seq":834299,"kind":"article","title":"Oburu arejea kutoka London","url":"https://taifaleo.nation.co.ke/habari/oburu-arejea-kutoka-london","summary":"KIONGOZI wa ODM Dkt Oburu Oginga amerejea nchini baada ya kukaa nchini Uingereza kwa takriban wiki tatu akipata matibabu, wakati chama hicho kinajiandaa kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha kakake, Raila Odinga. Dkt Oburu alirejea Ijumaa, Septemba 25, na chama kikathibitisha kurejea kwake siku iliyofuata. Kurejea kwake kunatokea huku ODM ikipanga shughuli za mwezi mzima kumuenzi Raila, aliyeaga dunia Oktoba 15, 2025 nchini India. Mpango huo unaojulikana kama “Mwezi wa…","published":"2026-09-30T04:55:20Z","seen":"2026-09-30T06:03:22Z","lang":"en","country":"KE","source":{"id":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","name":"taifaleo.nation.co.ke","domain":"taifaleo.nation.co.ke"},"via":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","topics":["habari","habari za kitaifa","dkt oburu oginga","kifo cha raila odinga","kiongozi wa odm","kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha…","mwenyekiti wa odm gladys wanga","mwezi wa baba"],"authors":["Fatuma Bariki"],"entities":[{"id":"Q12264981","name":"Oburu","type":"person"}],"story":"st_czqcvgifoftq2juxek2a","category":"sport","category_p":0.1899999976158142,"sentiment":"neutral","tone":-0.05000000074505806,"political":0.05999999865889549}]}