{"schema":"hottub-news/story/v1","story":"st_htu4ty62pvz67sazhqza","title":"Wantam! Sifuna aidhinishwa na Linda Mwananchi kupambana na Ruto 2027","title_en":null,"outlets":1,"brief":null,"page":"https://hottub.news/stories/wantam-sifuna-aidhinishwa-na-linda-mwananchi-kupambana-na-ruto-2027-htu4ty62pv","count":1,"items":[{"id":"n_htu4ty62pvz67sazhqza","seq":331177,"kind":"article","title":"Wantam! Sifuna aidhinishwa na Linda Mwananchi kupambana na Ruto 2027","url":"https://taifaleo.nation.co.ke/habari/wantam-sifuna-aidhinishwa-na-linda-mwananchi-kupambana-na-ruto-2027","summary":"HATUA ya Linda Mwananchi kumuidhinisha rasmi Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa mgombea wake wa urais, inaonekana kufunga mlango kwa azma ya Gavana wa Siaya James Orengo kuwania uongozi wa nchi kupitia vuguvugu hilo. Katika mkutano huo wa Jumamosi, viongozi wakuu wa vuguvugu hilo waliamua kumuunga Seneta Sifuna huku wakisaka muungano mkubwa wa upinzani kuelekea kwa Uchaguzi Mkuu wa 2027. “Leo (Jumamosi), tulikutana kama uongozi wa Linda Mwananchi na kuamua kusonga mbele…","published":"2026-09-28T02:55:33Z","seen":"2026-09-28T03:10:08Z","lang":"en","country":"KE","source":{"id":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","name":"taifaleo.nation.co.ke","domain":"taifaleo.nation.co.ke"},"via":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","topics":["habari","anthony kibagendi (kitutu chache kusini)","bw sifuna","clive gisairo (kitutu masaba)","gavana wa trans nzoia george natembeya","gavana wa zamani wa meru kawira…","linda mwananchi","mbunge wa embakasi mashariki babu owino"],"authors":["Fatuma Bariki"],"entities":[{"id":"Q114753735","name":"Edwin Sifuna Watenya","type":"person"},{"id":"Q121080151","name":"Ruto","type":"person"}],"story":"st_htu4ty62pvz67sazhqza","category":"politics","category_p":0.6000000238418579,"sentiment":"neutral","tone":0.14000000059604645,"political":0.6499999761581421}]}