{"schema":"hottub-news/story/v1","story":"st_mnmtqw4xkrx5rhps6tkq","title":"Maswali tele yaibuliwa kuhusu ekari 12,000 za kiwanda cha Dangote Lamu","title_en":null,"outlets":1,"brief":null,"page":"https://hottub.news/stories/maswali-tele-yaibuliwa-kuhusu-ekari-12-000-za-kiwanda-cha-dangote-lamu-mnmtqw4xkr","count":1,"items":[{"id":"n_mnmtqw4xkrx5rhps6tkq","seq":1488728,"kind":"article","title":"Maswali tele yaibuliwa kuhusu ekari 12,000 za kiwanda cha Dangote Lamu","url":"https://taifaleo.nation.co.ke/habari/habari-za-kitaifa/maswali-tele-yaibuliwa-kuhusu-ekari-12000-za-kiwanda-cha-dangote-lamu","summary":"UZINDUZI wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote East Africa Petroleum Refinery and Petrochemicals cha thamani ya Sh2 trilioni umeibua mjadala kuhusu ardhi itakayotumiwa wakati wa ujenzi wa mradi huo. Rais William Ruto amesema serikali imetenga ekari 9,000 Lamu kwa mradi huo na inatafuta ekari nyingine 3,000 kadiri mradi unavyopanuka. Hivyo, jumla ya ardhi inayolengwa ni takriban ekari 12,000. Akizungumza katika Ikulu ya Mombasa Oktoba 1, 2026, Rais Ruto…","published":"2026-10-03T05:55:52Z","seen":"2026-10-03T06:41:03Z","lang":"en","country":"KE","source":{"id":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","name":"taifaleo.nation.co.ke","domain":"taifaleo.nation.co.ke"},"via":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","topics":["habari za kitaifa","aliko dangote","huku seneta wa nairobi edwin sifun","katibu wa mipango wa kililana farmers…","malalamishi kuhusu ardhi","mkataba","mohamed rajab","rais william ruto"],"authors":["Fatuma Bariki"],"entities":[{"id":"Q1394965","name":"Aliko Dangote","type":"org"}],"story":"st_mnmtqw4xkrx5rhps6tkq","category":"economy-business","category_p":0.6499999761581421,"sentiment":"neutral","tone":-0.30000001192092896,"political":0.18000000715255737}]}