{"schema":"hottub-news/story/v1","story":"st_tymsiokrh5admv3jhy5a","title":"Ubaguzi: Changamoto kuu kwa wanaopamba maiti licha ya kipato kizuri","title_en":null,"outlets":1,"brief":null,"page":"https://hottub.news/stories/ubaguzi-changamoto-kuu-kwa-wanaopamba-maiti-licha-ya-kipato-kizuri-tymsiokrh5","count":1,"items":[{"id":"n_tymsiokrh5admv3jhy5a","seq":842255,"kind":"article","title":"Ubaguzi: Changamoto kuu kwa wanaopamba maiti licha ya kipato kizuri","url":"https://taifaleo.nation.co.ke/habari/habari-za-kaunti/ubaguzi-changamoto-kuu-kwa-wanaopamba-maiti-licha-ya-kipato-kizuri","summary":"KILA asubuhi, Margaret Santa Thoya, 26, hufika katika hifadhi ya maiti ya Hospitali ya Malindi akiwa na mkoba uliojaa vipodozi, brashi za nywele na vifaa vya urembo. Tofauti na wataalamu wengi wa urembo, kazi yake ni kuwapamba maiti ili waonekane nadhifu na wenye hadhi kabla ya kuagwa na familia zao. Margaret hutafuta familia zilizofiwa na kuwapa huduma ya kupamba nywele na uso wa wapendwa wao waliofariki. Kazi hiyo humpa kati ya Sh1,500 na Sh7,000 kwa kila mteja kulingana…","published":"2026-09-30T06:55:18Z","seen":"2026-09-30T07:04:24Z","lang":"en","country":"KE","source":{"id":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","name":"taifaleo.nation.co.ke","domain":"taifaleo.nation.co.ke"},"via":"kite-taifaleo-nation-co-ke-41a189","topics":["habari za kaunti","makala","andrew masama","changamoto kubwa","hospitali ya malindi","kuwapamba maiti","maiti","mwenyekiti wa chama cha ushauri wa…"],"authors":["Fatuma Bariki"],"entities":[{"id":"Q169207","name":"discrimination","type":"other"}],"story":"st_tymsiokrh5admv3jhy5a","category":"society","category_p":0.28999999165534973,"sentiment":"negative","tone":-0.5099999904632568,"political":0.03999999910593033}]}