Newsby HottubFor agents

Radio France Internationale

Hong Kong: Mwanaharakati wa demokrasia Joshua Wong ahukumiwa kifungo cha miaka 10 zaidi jela

Mahakama ya Hong Kong imemhukumu mwanaharakati wa kutetea demokrasia Joshua Wong kifungo cha miaka 10 jela siku ya Alhamisi, Novemba 5, 2026, kwa kosa la kula njama za kushirikiana na nchi za nje chini ya sheria ya usalama wa taifa. Amekuwa gerezani kwa karibu miaka sita kwa mashtaka mengine ya awali yanayohusiana na harakati za kidemokrasia.

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Radio France InternationaleOutlet
    Add