Newsby HottubFor agents

Radio France Internationale

Gaza: Shambulio la Israel laua watu sita katika eneo la kusini

Idara ya huduma za dharura katika Ukanda wa Gaza zimeripoti leo Alhamisi kwamba shambulio la Israel katika Hospitali ya Nasser huko Khan Younis, mji ulioko kusini mwa Palestina, limeua watu sita na kuwajeruhi angalau 20.

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Radio France InternationaleOutlet
    Add