Newsby HottubFor agents

taifaleo.nation.co.ke

Mustakabali wa Carrick kuamuliwa katika kikao Monaco

MUSTAKABALI wa kocha wa Manchester United, Michael Carrick, utaamuliwa leo, katika kikao kitakachohudhuriwa na mmiliki wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe pamoja na viongozi wakuu Omar Berrada na Jason Wilcox mjini Monaco. Kibarua cha Carrick kiko hatarini baada ya United kushuka hadi nafasi ya 18 kwenye jedwali la Ligi Kuu UIngereza (EPL) kufuatia sare ya 4-4 dhidi ya Aston Villa Jumapili. Kwa mujibu wa BBC Sport, Berrada, ambaye ni mtendaji mkuu, na Wilcox, mkurugenzi wa soka…

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Fatuma BarikiReporter, taifaleo.nation.co.ke
    Add
  • taifaleo.nation.co.keOutlet
    Add