Maandamano yashuhudiwa Ufaransa huku shule zikifunguliwa baada ya likizo
Wanafunzi wa shule za upili walirejea shuleni mapema Jumatatu kote nchini Ufaransa, huku maandamano machache yakishuhudiwa . Wanafunzi hao waliokuwa wakirejea kutoka kwa likizo ya majuma mawili walifunga barara kadhaa katika miji ya Marseille na Paris mapema Jumatatu huku Polisi wakikabiliana nao wakipin ga hatua ya kufunga barabara Wanafunzi zaidi ya 3,000 walizuiwa na polisi […] The post Maandamano yashuhudiwa Ufaransa huku shule zikifunguliwa baada ya likizo appeared…