Newsby HottubFor agents

Radio France Internationale

Watu zaidi ya 50 wamefariki katika mapigano kati ya magenge na wanamgambo Kaskazini mwa Nigeria

Wanamgambo kutoka kijiji cha Zoma, katika Jimbo la Zamfara, wamefanya shambulio la kuvizia dhidi ya "majambazi" siku ya Alhamisi, Novemba 12, kujibu uporaji, utekaji nyara, na wizi wa mifugo unaofanywa na makundi yenye silaha yanayotishia eneo hilo. Mapigano hayo yalisababisha vifo vya zaidi ya watu 50, kulingana na wakazi wa eneo hilo.

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Radio France InternationaleOutlet
    Add