Newsby HottubFor agents

michuzi.co.tz

NCMC NA CRDB KUFUNGUA FURSA BIASHARA YA KABONI NCHINI

KARIBU cha Taifa cha Taifa cha Kuratibu Biashara ya Kaboni kimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Benki ya CRDB Makubaliano ya Ushirikiano ya miaka mitano kwa lengo la kuendeleza, kufadhili na kukuza miradi ya biashara ya kaboni nchini. Utiaji Saini huo umefanyika leo tarehe 13 Novemba 2026, jijini Antalya Uturuki, pembezoni mwa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), katika kikao cha pembezoni cha Benki ya CRDB kilichokuwa na kaulimbiu…

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Othman MichuziReporter, michuzi.co.tz
    Add
  • michuzi.co.tzOutlet
    Add