Newsby HottubFor agents

michuzijr.blogspot.com

UENDELEVU WA NGOs WATEGEMEA UONGOZI BORA, UBUNIFU

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini yametakiwa kuimarisha mifumo ya uongozi, usimamizi wa fedha, uwazi na uwajibikaji pamoja na kuwekeza katika ubunifu ili kuongeza uwezo wa kujiendesha na kuendeleza huduma kwa jamii. Wito huo umetolewa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo, walioeleza kuwa uongozi bora, uzingatiaji wa sheria za kodi na matumizi sahihi ya rasilimali ni miongoni mwa misingi muhimu ya kuhakikisha mashirika hayo yanakuwa…

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Othman MichuziReporter, michuzijr.blogspot.com
    Add
  • michuzijr.blogspot.comOutlet
    Add