Newsby HottubFor agents

michuzi.co.tz

Airtel Tanzania yasogeza huduma za mawasiliano ya 4G karibu na wakulima na wananchi wa vijijini Masasi, Mtwara

● Mnara mpya wa mawasiliano wa 4G unatarajiwa kunufaisha takribani wakazi 2,000 wa Kata ya Mlingura na vijiji jirani. MTWARA, Novemba 11, 2026. Airtel Tanzania inaendelea kusambaza zaidi miundombinu yake ya mawasiliano katika Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara, kwa kusogeza huduma za uhakika za mtandao wa 4G karibu na jamii na kufungua fursa zaidi za kidigitali kwa wakulima, wafanyabiashara wadogo na kaya. Hatua hiyo iliyofanyika kati ya Novemba 5 na Novemba 10, 2026…

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Othman MichuziReporter, michuzi.co.tz
    Add
  • michuzi.co.tzOutlet
    Add