Newsby HottubFor agents

Radio France Internationale

RDC: Rais Tshisekedi atia saini sheria mpya ya kura ya maoni

Rais wa DRC, Félix Tshisekedi ametia saini sheria mpya ya kura ya maoni inayochukua nafasi ya sheria ya zamani ya Juni 22, 2005, yakiwa ni mabadiliko makubwa katika sheria na kutoa fursa kwa wananchi kupigia kura rasimu ya Katiba mpya au kufanya marekebisho ya katiba iliyopo kupitia kura ya maoni kusema "Ndiyo" au "Hapana".

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Hillary IngatiReporter, Radio France Internationale
    Add
  • Radio France InternationaleOutlet
    Add