Newsby HottubFor agents

habarileo.co.tz

Watu 17 wauawa kwa risasi Afrika Kusini

AFRIKA KUSINI: WATU 17 wameuawa kwa kupigwa risasi katika matukio mawili tofauti nchini Afrika Kusini, huku nchi hiyo ikiendelea kukabiliwa na kiwango kikubwa cha mauaji yanayohusishwa na uhalifu. Kwa mujibu wa polisi, takwimu zinaonesha kuwa wastani wa watu 60 huuawa kila siku nchini humo, huku sababu za mauaji hayo zikihusishwa na biashara ya dawa za …

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Na Mwandishi WetuReporter, habarileo.co.tz
    Add
  • habarileo.co.tzOutlet
    Add