Newsby HottubFor agents

Radio France Internationale

Watu 700,000 wameyakimbia makazi yao kutokana na mapigano kusini kusini mwa Ethiopia

Karibu watu 700,000 wameyakimbia makazi yao kutokana na mapigano kati ya vikosi vya kijeshi kutoka maeneo ya Somalia na Oromia ambayo yameendelea kwa karibu mwezi mmoja kusini mwa Ethiopia, shirika lisilo la kiserikali la Uingereza la Islamic Relief limeripoti mnamo Novemba 19, 2026.

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • RFI na mashirika mengineReporter, Radio France Internationale
    Add
  • Radio France InternationaleOutlet
    Add