WAZIRI MCHENGERWA AWAALIKA WADAU KUSHIRIKI ASILI INVESTMENT GALA 2027
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewaalika wawekezaji, wadau wa tiba asili na sekta ya afya kushiriki katika dhifa ya uwekezaji wa tiba asili ijulikanayo kama Asili Investment Gala 2027, inayotarajiwa kufanyika Aprili 2027, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuendeleza tiba asili na kuhakikisha inatambulika na kuunganishwa katika mfumo rasmi wa huduma za afya nchini. Dhifa hiyo yenye kauli mbiu “Wekeza katika Dawa Zetu za Ndani za Tiba Asili” inalenga kuhamasisha…