Saudi Arabia yapiga marufuku safari za Wakenya kutokana na Ebola
Saudi Arabia imepiga marufuku raia wake kusafiri Kenya na kusitisha utoaji wa visa kwa wasafiri kutoka nchi hiyo ya Afrika Mashariki kufuatia kuthibitishwa kwa ugonjwa wa Ebola, hatua inayoongeza wasiwasi kuhusu athari za kimataifa za ugonjwa huo. Hatua hiyo iliyotangazwa Ijumaa, Oktoba 30, inajumuisha pia kuwazuia wasafiri waliotembelea Kenya katika siku 21 zilizotangulia kuingia katika taifa hilo la Mashariki ya Kati. Saudi Arabia imejiunga na El Salvador ambayo tayari…