Newsby HottubFor agents

taifaleo.nation.co.ke

Mackenzie kuishi jela miaka 200 kutokana na vifo Shakahola

KIONGOZI wa dhehebu la Good News International (GNI), Paul Nthenge Mackenzie, amehukumiwa kifungo cha jumla ya miaka 200 gerezani kwa mauaji ya watoto 190 na mtu mzima mmoja katika msitu wa Shakahola kati ya Januari 2021 na Septemba 2023. Jaji Diana Kavedza akiwa katika Mahakama Kuu mjini Mombasa, alimpa Mackenzie vifungo viwili tofauti vya miaka 100 kila kimoja, kutegemea jinsi waathiriwa walivyofariki. Kifungo cha kwanza kinahusu vifo vya watu 183, wakiwemo watoto 182 na…

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Fatuma BarikiReporter, taifaleo.nation.co.ke
    Add
  • taifaleo.nation.co.keOutlet
    Add