Newsby HottubFor agents

taifaleo.nation.co.ke

Kinachomsubiri Pochettino ugani Old Trafford

MAURICIO Pochettino anatua ugani Old Trafford akiwa na sifa ya kuwa kocha asiyependa masihara, anayekumbatia maandalizi kabambe kabla ya kila msimu na anayetaka wachezaji wote kuwa katika hali thabiti kiakili na kimwili kila wakati. Manchester United wameajiri mkufunzi huyo raia wa Argentina hadi Juni 2029 kuchukua nafasi ya Michael Carrick aliyetimuliwa baada ya kikosi kusajili msururu wa matokeo duni muhula huu. Kwa mujibu wa difenda wa zamani wa Tottenham Toby…

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Fatuma BarikiReporter, taifaleo.nation.co.ke
    Add
  • taifaleo.nation.co.keOutlet
    Add