Newsby HottubFor agents

swahili.kbc.co.ke

Wakenya milioni 33.7 wamejisajili SHA, asema Ruto

Jumla ya Wakenya milioni 33.7 wamejisajili na Mamlaka ya Afya ya Jamii, SHA. Rais William Ruto amesema hii ni kinyume cha Wakenya wapatao milioni 8 waliokuwa wamejisajili na iliyokuwa bima ya afya ya NHIF miaka minne iliyopita. “Lakini umuhimu wa mageuzi haya unazidi takwimu za waliojisajili,” alisema Rais Ruto wakati akihutubia taifa kutoka majengo ya […] The post Wakenya milioni 33.7 wamejisajili SHA, asema Ruto appeared first on KBC Swahili .

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Martin MwanjeReporter, swahili.kbc.co.ke
    Add
  • swahili.kbc.co.keOutlet
    Add