Newsby HottubFor agents

Radio France Internationale

Angalau raia 30 wameuawa na 'watu wenye silaha' magharibi mwa Niger

Takriban raia 38 wameuawa mnamo Novemba 12, 2026, katika shambulizi la kuvizia lililofanywa na watu wenye silaha wasiojulikana katika kijiji cha Tillim, karibu na mji wa Téra, magharibi mwa Niger karibu na mipaka ya Burkina Faso na Mali.

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Radio France InternationaleOutlet
    Add