Newsby HottubFor agents

Radio France Internationale

Ufaransa: Bingwa wa mchezo wa judo Teddy Riner atangaza kugombea urais

Bingwa mara tano wa mchezo wa judo katika michezo ya Olimpiki Teddy Riner, ambaye ni ishara ya michezo ya Ufaransa, leo Jumatatu, Novemba 9, ametangaza kugombea urais kwa uchaguzi wa urais wa mwaka 2027 katika video iliyorushwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Yeye ni mtu wa 36 kutangaza kugombea nafasi ya mkuu wa nchi katika uchaguzi ujao.

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Radio France InternationaleOutlet
    Add