Newsby HottubFor agents

michuzi.co.tz

Nishati Safi ya Kupikia Watajwa Chachu ya Maendeleo Endelevu

Na Avila Kakingo, Michuzi Tv MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema matumizi ya nishati safi ya kupikia ni muhimu katika kuboresha afya za wananchi, uchumi wa familia, mazingira na maendeleo endelevu ya Taifa kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Amesema hayo leo Novemba 13,2026 wakati akifungua Mkutano wa Wadau wa Nishati Safi ya Kupikia kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, wenye kaulimbiu “Nishati…

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Othman MichuziReporter, michuzi.co.tz
    Add
  • michuzi.co.tzOutlet
    Add