Newsby HottubFor agents

Radio France Internationale

Urusi yathibitisha kuwa itashiriki katika mazungumzo na Ukraine na Washington Abu Dhabi

Urusi imethibitisha Jumanne, Novemba 3, 2026, kwamba itashiriki katika mazungumzo na Ukraine yaliyotangazwa na Marekani, ambayo yatafanyika Novemba 10 na 11 huko Abu Dhabi. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema kuwa taarifa ya Urusi itatumwa kwa Falme za Kiarabu.

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Radio France InternationaleOutlet
    Add