Newsby HottubFor agents

michuzi.co.tz

MAKAMU WA RAIS ATOA KASI MPYA YA MAENDELEO KUSINI

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameanza ziara ya kikazi mkoani Lindi na kupokelewa kwa shangwe na mahaba makubwa, tarehe 14 Novemba 2026. Ziara imehusisha ukaguzi wa ujenzi wa stendi ya mabasi kwenye halmashauri ya Mtama; kukagua ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo kuna Chuo cha Sayansi za Kilimo na Teknolojia ya Chakula; kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Sokoine; kukagua ujenzi wa Soko la Lindi Mjini na kuongea na wananchi katika maeneo tofauti…

Add to CRM by Hottub

Everyone in this article who could become a relationship. Add opens CRM by Hottub's form, filled in; nothing is saved until you press Add there.

  • Othman MichuziReporter, michuzi.co.tz
    Add
  • michuzi.co.tzOutlet
    Add